Tunatanguliza salamu zetu za rambi rambi kwa familia yote ya Kanisa la Mikocheni B Assemblies of God (Mlima wa Moto) kwa kuondokewa na Mama, na Askofu, Bishop Dr Getrude Rwakatale, Mungu akawe mfariji wenu katika kipindi hiki kigumu! hakika mwendo ameumaliza. Prosperous Sounds tukiwa ndani ya studio za Praise Power Radio, siku chache kabla ya kutwaliwa kwa Askofu Dkt Getrude Rwakatale.
Kipindi cha The Weekend Galla, kinachoongozwa na Ben B.
#prosperoussounds #interview #theweekendgalla #benb #praisepowerradio #exclusiveinterview #bestgospelgroup
0 Comments